SPORTS*NeW**

DEAR VIEWERS WE THANK U FOR YOUR SUPPORT,BECAUSE IF NOT FOR YOU WE WOULDN'T BE HERE WE ARE AND NOW WE INTRODUCE A PAGE WHICH WILL CONTAIN EVERY HINT,NEWS,FIXTURES,VIDEOS OF VARIOUS SPORTS GAME..SO KEEP AN EYE FOR 
 MORE TO COME..REMEMBER "BE PROUD OF YOUR SELF"
 by;
(ASILI GROUP


 
 
 
 
 
 
 
CHANDIMU
KAMA HUJACHEZA HUU MCHEZO BASSSS. . . .!!!
     Ni mchezo ambao asilimia kubwa ya watoto wakiume huucheza hasa katika miaka mitano na kumi na moja.
 
 
     Mchezo huu una raha yake mbwana asikwambie mtu,lakini pia una karaha zake . Ni raha pale timu yako inaposhinda lakini pia ni karaha pale unaposhindwa au kudhulumiwa ushindi ,wakati mwingine hupelekea ugomvi.
   Mchezo huu huwa mtamu zaidi pale watoto wanapoiga mitindo ya uchezaji wa magwiji wa soka duniani kama kina MESI na RONALDO. Hapana chezea chandimu achaaa. . .
 
 
 



 YANGA YATINGA HATUA YA MAKUNDI  CAF

                                      
     Timu ya soka ya Tanzania ,ambayo hivi karibuni iliibuka mshindi wa ligi kuu ya soka Tanzania bara imefanikiwa kutinga katika hatua ya makundi katika mashindano ya CAF.Yanga iliingia hatua ya makundi baada ya kufungwa bao 1-0 na wenyeji wao timu ya Esperanca ya nchini Angola.Katika mchezo uliopita uliochezwa katika uwanja wa Taifa yanga ilishinda bao 2-0,hali iliyoifanya kupata ushindi wa bao 2-1.
                           
 Katika mtanange huo beki wa timu ya Yanga Nadir Haroub Kanavaro alitolewa nje kwa kadi nyekundu (red card),kutokana na rafu iliyozaa penati ambayo imepanguliwa na goli kipa wa Yanga.
                         
     Shukurani za pekee zimwendee goli kipa wa Yanga Deo Munisi  ambaye aliiokoa Yanga mara baada yakuipangua kishujaa penati iliyotolewa kama adhabu kwa rafu aliyoicheza beki wa Yanga . 















WANAFUNZI WATANZANIA NCHI CHINA ,WAZIDI KUIPAISHA TANZANIA
Dunia ni mzunguko na kila kukicha watu wanazunguka kunako kila kona kwa minajiri mbalimbali,wengine ili kutafuta ajira ,kutalii,kutembea ndugu na wengine kwa ajili ya masomo.


                                     
Kundi kubwa la wanaoenda nje ya nchi zao ni wanafunzi.Kwa upande wa tanzania nasi hatujaachwa nyuma,hivi majuzi nilipata bahati kuongea na mmoja wa watanzania anayesoma katika chuo kimoja  huko china. alinijuza kuwa katika kuhakikisha kuwa wanadumu katika umoja wameamua kuunda wameunda timu yao ya mpira wa miguu.Timu hiyo hujumuisha wanafunzi watanzani wanaosoma katika chuo hicho,ambapo yeye ndiye nahodha wa timu hiyo .Uzalendo ulioje ,Big up kwao.


Kila siku vituko wacheki hapa 




THE STORY OF LEONEL MESSI
ENJOY

He is the man with super talent ,in fact he is un explainable  let us move together looking at his biography ,welcome
 





MAMBO YAZIDI KUWANYOOKEA NYOTA WA TANZANIA
Hawa si wengine bali ni wachezaji wa TP MAZEMBE ya Kongo na wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania.
Mbwana Samatta na Tomas Ulimwengu wajiandaa na klabu bingwa dunia Japan. . . Kila la heri kwao







MBWANA SAMATA AZIDI KUNG' ARA


Mtanzania  anayewezea TP Mazembe ya nchini Congo(DRC) ameendelea myonyesha umahili wake wa kusakata kabumbu Mara baada ya kufunga mabao matatu peke yake
Wakati hayo yakitumika mshambuliaji wa kimataifa C. RONALDO aliweza kuongoza timu yake kwa kufunga mabao matano mwenyewe 



Mmmmmh........KAMA  RONALDO
HAHAAAAA. . . anaitwa king MAJUTO






USIKATE TAMAA ,
Hata yeye alianzia mchangani tena akicheza pekupeku









HIVI INGEKUWA WEWE UNGEMFANYAJE MTU HUYU


Ni Katika hali ya sintofahamu iliyomkumba mchezaji bora dunia kwa Mara kadhaa ,mshambuliaji wa wa Bacelona Mesi.
Hayo yakitumika Katika fainali za COPA AMERICA kati ya Chile na Agentina ,huku timu hizo zikiumana vikali mpaka kwenye matuta


Mesi ndiye aliyefungua dimba kwa kupiga vyema kabisa Ila sasa waliomfuata wakaboronga hali iliyomvunja moyo Mesi .Alionekana mwenye huzuni kubwa kwani inaonekana alitegemea makubwa Katika fainali hizo,hali iliyomfanya ushindwe kuvaa hata jaketi LAkuzuia baridi 






CHILE  ,MABINGWA WAPYA ,COPA AMERICA

Ikiwa ni miaka 99 imepita
 sasa tangu timu hiyo kuchukua taji hilo, hatimaye sasa wamelitwaa taji hilo. Ilikuwa ni mtanange wa kukatana shoka timu hiyo ilipoumana vikali na timu ya Agentina iliyoongozwa na mchezaji bora Mesi



Mshambuliaji  machachali anayekipiga kunako timu ya Arsenal Alex Sanches ndiye alipiga penalt ya mwisho kudhihirisha ushindi wao,aliipiga kwa ufundi akimuuza goli kipa wa  Agentina bila kutumia nguvu ,kama hataki vile ,lakini akashangilia kwa mbwembwe kana kwamba ndo bao lake LA kwanza duniani







10 MOST  SHOCKING EVENTS In Barclays leage


   








Top 10 funny red cards in football

                                          




WHEN GOALKEEPERS AND PLAYERS MISS(Funny video)









RONALDO,NEYMAR AND MESSI SKILLS

                                 
                


                                  WHEN RONALDINHO IS IN THE FIELD  RONALDINHO (Those times)

 





           

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni