Hapa ni katika kijiji cha Heru Juu wilayani Kasulu ,Kigoma. Tayari umeme upo na unatumika kwa shughuli mbalimbali.
Shukrani kwa wapinzani kwa kazi nzuri ya kuikumbusha serikali .Pongezi pia kwa serikali ya J.Kikwete kwa kutekeleza hilo. Ombi langu kwa serikali ya J.P. Magufuli kuendelea kutatua kero nyingine kama ya maji,vifaa mashuleni na kadhalika.
By Richard Sheim & Sadock Mahanga
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni