Mradi wa mabasi yaendayo kasi u iliokuwa unasubiriwa kwa hamu na wakazi wa Dar es Salaam ,unatarajia kuanza kazi rasmi mapema mwakani 2016 Akizungumza na vyombo vya habari mhusika mkuu alisema kuwa wapo Katika hatua za mwisho wakimalizia mambo madogo madogo. Mabasi yaendayo kasi yanatarajiwa kupunguza foleni zilizokithiri jijini Dar es Salaam
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni