Jumanne, 4 Machi 2014

(ACT)Chama kipya cha siasa chasajiliwa

Katika kipindi cha harakati za kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwakani (2015), ambapo tumeshuhudia mvurugiko ndani ya baadhi ya vyama vya siasa hasa CCM na CHADEMA. Akizugumza na vyombo vya habari mwenyekiti wa muda wa chama hicho ,Kadawi Lucas Limbu amesema kitakuwa ni chama cha demokrasia ya kweli.Naye katibu mkuu Samson Mwigamba ameweka bayana kuwa hakutakuwa mwasisi atakayedai kuwa yeye ni mwanzilishi ila wanachama wote watakaojitokeza kujiunga watakuwa ni waanzilishi.ALLIANCE FOR CHANGE AND TRANSPARANCE (ACT) ,kimekuja na uvumi kwamba huenda baadhi ya wanachama ni wale waliopigwa chini na baadhi ya vyama vya siasa nchini

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni