Basi Leo tunaweza tukumbuka sana dikta leader na Wimbo wake Msambaa wa mwaka 2007. Akisema "Mimi ni dokta leader ni msambaa" basi leo tunakupa fulsa ya kuwa jua wasambaa, ambao ni doctor leader na wengine wengi
Wasambaa ni jamii kutoka tanga, katika mkoa wa Tanga kuna makabila mengi wasambaa, na wabondei
Wasambaa ni waenyeji kutoka Tanga, wilaya ya Lushoto, kusambaa kwa jamii hii katika milima ya usambara, ndio chanzo cha jamii hiyo kuitwa wasambaa, jamii ya wasambaa inasemekana kupanuka nyakati za Karne ya 17 na 19, kwa wakati huo asilimia 90% ya wakazi wa Lushoto ni Wasambaa
SHUGHULI ZA UCHUMI
Wasambaa hujishughulisha na kilimo, ufugaji pamoja na biashara. Hufuga ng'ombe, mbuzi na mifugo mingine. Hufanya biashara hasa ya mazao wanayo pata katika kilimo, ambacho huwa cha nafaka na matunda Kama machungwa.
SHUGHULI ZA KIJAMII
Jamii ya wasambaa huwa funza watoto kwa Mila na desturi za kisambaa kupitia jando au ujago. Mafunzo huusisha uchapa Kazi, malezi na makuzi ya watoto na etegemezi. Kijana anapofikia umri wa kuoa ni lazima awataarifu wazazi wake na taratibu za Ndoa hufuatwa. Sifa za mchumba ni pamoja na uchapa kazi na tabia zinazokubaliwa na jamii ya kisambaa
Nyumba nyingi wasambaa huwa mviringo yenye vyumba vitatu: sebule, jiko na chumba cha kulala. Mara nyingi wasambaa huishi na mifugo katika nyumba moja, kwa sababu huwa hawana mifugo mingi. Ujenzi wa nyumba hufanyika kwa ushirikiano, wanaume ndio wajenzi wa kuu wa nyumba Wakati wanawake wanaandaa chakula,Maji na pombe. Kama ilivyo Ada kwa makabila mengi ya Tanzania.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni