Alhamisi, 25 Juni 2015

TEMBO AIBA MKOBA KWENYE GARI

Tembo mmoja katika mbuga ya wanyama huko India alizua jambo baada ya kuiba mkoba uliokuwa umeachwa na mtalii mmoja ndani ya gari lake,alilolipaki pembeni ya barabara inayopita ndani ya mbuga hiyo.
Hata hivyo juhudi za kuunusulu mkoba huo hazikuzaa matunda kwani kabla ya maofisa wa idara ya maliasili kufika tayari Tembo alikuwa ameshauchanachana mkoba huo
                                 
                                   
                                               
                                                  By, Richard Sheim

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni