Ni Katika Yale majina ya waliorejesha fomu kuomba wachaguliwe kuwania kiti cha urais kwa tiketi ya CCM .Lowassa ,Pinda ,nk CHALIIII. . TANO BORA HII HAPA . .
Sasa fikira za watanzania zianze kuelekezwa kwa hawa TANO BORA, Ni natumain miongoni mwao yupo rais bora anayeweza ongoza TANZANIA kwenye mabadiliko yenye MAFANIKIO
Pole kwa waliokatwa,TUNAJUA waliokatwa walitumia juhudi za hali na Mali. Làkin asiyekubali kushindwa si mshindani,
By Richard Sheim
(Chadenge the boy)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni