Utangulizi
Hii ni hadithi ambayo imetungwa na bwana Richard sheim . Inalezea kisanamikasa iliyo mkuta Chadenge ambaye amepitia maisha ya tabu sana . Hozi tabu zote Je ni Laana Ya baba au la. Basi bila kupoteza Wakati twende moja kwa moja
Chadenge alikuwa akilowa jasho kiasi cha kufanya mavazi yake kulowa. Ukiacha harufu mbaya Itokayo katika mavazi yake ambayo haya jafuliwa wiki ya Attu sasa.
Anaishiwa nguvu na kushindwa kumjibu mwajili wake ambaye amempa Kazi ya kubeba mzigo ya vyuma chakavu vili.............(Itaendelea)

Miale ya jua Kali ilikuwa ikiliunguza dongo la ardhi vilivyo . Mithili ya joto limpatalo mtu aliyesimama kondo ya moto utokanao na mapira au magodoro. Miale ya jua Hilo inapiga moja kwa moja na kumsingia katika paji la uso. Kichwa kikigonga Kama mafundi wagongeleavyo vyuma au wavunja Kokoto kwa kitumia nyundo, Nde! Nde! Nde! . Inampata kijana Chadenge ambaye ameshachoshwa na mzito ulio kichwani mwake isitoshe Miguu Inawaka moto kutokana na ardhi kuchemka na kuunguza Miguu ya kijana Huyo aliyekuwa Peku."Kuna hali gani ya kuendelea kuishi?" Chadenge anajiuliza moyoni. " nikirudi kijijini lawama, gerezani kuanza tu" haya ni maswali aliyojiuliza Chadenge. " usilete uzembe,! Ndio kwanza umebeba mzigo wa nne tu. hela yangu haiendi hivi hivi. " anafoka mmiliki wa mzigo Hiyo.
Chadenge alikuwa akilowa jasho kiasi cha kufanya mavazi yake kulowa. Ukiacha harufu mbaya Itokayo katika mavazi yake ambayo haya jafuliwa wiki ya Attu sasa.
Anaishiwa nguvu na kushindwa kumjibu mwajili wake ambaye amempa Kazi ya kubeba mzigo ya vyuma chakavu vili.............(Itaendelea)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni