Hivi tokea asubuhi umeshacheka . . . . .?! Haya sasa waweza kucheka . . .! JAMAA mmoja alifumaniwa na mke wa mtu, akafanikiwa kutoroka , kakimbia uchi hadi stendi akapanda BASI. Konda akawa anamuangalia mara mbilimbili hammalizi . . .! Yule JAMAA akamuuliza konda , "Unashangaa nini . .?! Kipi usichokijua . . . .?!" Konda akamjibu ,"Mimi sishangai uchi wako ati . . .! Najiuliza kwa jinsi ulivyo , wapi ulipoweka nauli yangu . . . . . . . .?!" Je, ungelikuwa wewe ungejibu nini . . .?
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni