Wakati watu mbalimbali wakijikita katika kuiga mitindo ya ughaibuni ,wajanja wameendelea kupendezesha mageti yao kwa ubunifu wa asili.Ubunifu huo wa aina yake humpa mtu uhuru wa kuchagua picha ya kitu chochote kichorwe katika geti lake.Wataalamu wa mitindo wanashauli watu waachane na ulimbukeni wa kupeda kuiga vitu vya ughaibuni kwani hata vya kwetu ni vizuri kuliko vyao.Umefika wakati sasa tufanye yetu na tuvithamini vya kwetu ili na wao watuige.
By: Richard Sheim
By: Richard Sheim
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni