Jumatano, 17 Septemba 2014

. . . ACHA KUUA WANYAMAPOLI. . . , TUNZA . .LULU YA TAIFA. . .

                                                  By,Dante
Kwa takribani  kipindi kirefu sasa kumekuwa na mfululizo wa matukio ya ujagili. Ni jambo la kusikitisha kuona kwamba kuna baadhi ya watu wamekosa uzalendo na taifa lao .WATANZANIA twapaswa kutambua kuwa ni nchi chache duniani zilizobarikiwa kuwa na LULU kama hii.JAMANI . . . .Tuitunze. . . Itufaidishe. . .


















                     By:Richard Sheim 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni