Alhamisi, 11 Juni 2015

MKULIMA WA DARASA LA SABA ATAKA URAIS CCM

       


               ELDOFORCE BILOHE
Ni jina LA mkulima huyo anayetokea kijiji cha mjimtala wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma.
Alitinga makao makuu ya Chama cha mapinduzi kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteliwa kuwa mgombea urais,bila ya aAda akiwa amebeba chupa ya maji kwapani. Kitendo hicho kiliwashitusha wengi na kuleta sura mpya Katika mchakato wa uchukuaji fomu .
      Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari ndg,Eldoforce BILOHE mwenye elimu ya darasa LA saba alifanikiwa  kuchukua fomu hiyo.

   


Kwa mujibu wa maoni ya watu ,wengi wao wameonekana kulidhishwa naye kwani amejitokeza  kama mtanzania halisi akiwawakilisha watanzania wa hali ya chini.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni