Unapoongelea siasa na maendeleo ya Tanzania basi no dhahili kwamba jina Zitto Kabwe lazima litawale kinywa chako.Kuna fununu fununu nyingi mitaani,bungeni,kwenye vyombo vya habari na hata vyama mbalimbali vya siasa,hivyo kuibua maswali mengi kama vile;
1. Je? Anatumika na CCM. . . ?
2.Kwa mini hakuunga mkono shughuli nyingi za UKAWA bungeni. . .?
3.Anahusika vipi na chama cha ACT.. . .?
4.Nini msimano wake juu ya selikali tatu au mbili. . .?
5.Je? Ameoa au hajaoa ,anawatoto au la. . . ?
6. Kitu atakachopeda kufanya baada ya kustaafu. . . ?
7. Nje ya siasa hupenda kufanya mini. . ?8. Mini humsukuma kutetea maslahi ya nchi. . . ?
Kupata majibu angalia na usikilize kwa makini yafuatayo. . . .
Akizungumzia maisha binafsi
Zitto akiimba. . .
Zitto katika uzinduzi was chama cha ACT Taifa Kwanza
WEMA KWA UBAYA. Linex ft Zitto Kabwe
By; Richard Sheim
(Chadenge the boy)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni