Ijumaa, 5 Juni 2015

OMBA YASIKUKUTE

Kuna jamaa Alitaka Kwenda kutoa posa kwa wakwe akashonesha nguo Chenye kitambaa malidadi kabisa sasa siku imewadia jamaa kufika kwa wakwe anaona kitambaa alichoshonea nguo ndio kitambaa cha mapazia ya pale sebuleni kwa wakwe. Je wewe ungefanya je.........! Maoni yako tafadhali

Joel Joshua

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni