Jumatatu, 14 Septemba 2015

LOWASSA ASAIDIWA KUPANDA NGAZI

                     
            Akiwa anamalizia kampeni zake mkoani Singida  ,mgombea urais kwa tiketi ya chadema Edward Lowassa alisaidiwa kupanda ngazi kuelekea jukwaani na wasaidizi.Hali hiyo imezua sintofahamu huku wengi wakihoji kuhusu afya yake

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni