Kipindi hiki cha uchaguzi kampeni za wagombea zinatawaliwa na mafuriko ya watu ,hili si la kulifumbia macho kwan siri ya mtu haipo usoni Bali moyoni, juu ya nani wa kumpigia kura
Watanzania tuwe makini ,tuchambue sera za wagombea, tuache ushabiki na uvyama usio na tija
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni