Rais wa awamu ya tano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli ,amemalizia kazi ya uteuzi wa mawaziri waliokuwa wamewekwa vipolo
1. Rais amemteua Profesa Jumanne Maghembe kuwa waziri wa Maliasili na Utalii.
2. Dr.Philip Mpango ,ameteuliwa kuwa waziri wa Fedha na Mipango.
3. Dr. Joyce Ndalichako ameteuliwa kuwa waziri wa Elimu,Sayansi na Tekinolojia na Ufundi.
4. Mhandisi Gerson Lwenge ameteuliwa kuwa waziri wa Maji na Umwagiliaji.
5.Profesa Makame Mbarawa ameteuliwa kuwa waziri wa Ujenzi ,Uchukuzi na Mawasiliano.
6.Mh,Hamad Masauni ameteuliwa kuwa naibu waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni