Jumapili, 8 Mei 2016

"HAPA KAZI TU"

         Unaambiwa utamu wa kazi huja pale unapoifanya kwa moyo na uwe unaipenda,haijalishi ni kazi gani. Unapowataja  watu wanaovutia ,wanaojituma na kufanya kazi waipendayo kwa moyo, hutamsahau trafiki mmoja aliyepewa jina la "Magari".Ni katika jiji la Dar-es-Salaam,kwenye moja ya barabara kuu ndipo utakapomkuta trafiki huyu. hufanyakazi kwa mbwembwe na madoido ya hatari kwelikweli , huku akifurahi kiasi kwamba haonekani kuchoka . Tuige mfano wake ,ili kuleta maendeleo katika jamii na nchi kwa ujumla.
          Hapa akiyaelekeza magari kuelekea upande wa kushoto


                 Hapa akiyachungulia magari kama bado yanakuja



                          Hapa akiyavuta magari kwa mbele


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni