Jumapili, 8 Mei 2016

HESHIMA KWAKO MAMA . . . HONGERA SANA

"NANI KAMA MAMA . . . . . ?
 Ni usemi uliozoeleka sana vyinywani na masikioni mwetu,lakini je ushawahi tafakari ukweli ulio katika usemi huo,bila shaka hujawahi .Asiliasilia katika kuadhimisha siku ya wakina mama duniani tumeamua kukualika pamoja tutafakari umuhimu wa wanawake katika jamii zetu,hasa kina mama.


       Huu ni mjumuiko wa majukumu waliyonayo akina mama. . "Pole sana mama"

           Wakiwa bado wanaelemewa na mzigo mkubwa bado mchango wao hauthaminiwi na baadhi ya watu,wengine huishi bila raha ,huvumilia yote ,hupokea yote na wengine kutwa wanatokwa na machozi kila kukicha.

                                  
           Ndugu yangu ,wewe usiyemthamini mama labda umesahau kwamba sote tupo hapa kwa sababu ya mama ,tafadhali mfute machozi mama kwa kumpa hongera kwa malezi bora 







Hakuna maoni:

Chapisha Maoni