Ijumaa, 13 Februari 2015

Mzee mmoja Alifika kijijini akakuta mtandao unapatikana vizuri tu. akamwandikia mkewe sms. Bahati  mbaya akaituma kimakosa kwa mtu mwingine ambaye ni mwanamke mfiwa. Alipopokea SMS asome maana Watu walikuwa bado wanamtumia sms  za kumfariji na msiba. Aliposoma SMS ile akazimia pale pale. Mwanae kuona mama kaanguka akaisoma ile. Ilikuwa imeandikwa hivi;  Mke wangu mpenzi najua utashangaa kuona SMS  yangu kwako Kumbe  hata huku nako mtandao unapatikana Kama huko. Nimefika salama na matayarisho ya wewe kuja huku yamekamilika hivyo jiandae haitofika wiki Ijayo utakuwa umeshanifuata huku. Mwana Naye chali.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni