Jumamosi, 14 Februari 2015

SHULE 10 BORA TANZANIA KWA MATOKEO CSEE 
YA KIDATO CHA NNE 2014 
Ikiongozwa na shule kutoka kagera
1 .Kaizirege -kagera
2 .Mwanza Alliance -mwanza
3 . Marian Boys -pwani
4 .St . Francis -Mbeya
5 .Abbey -Mtwara
6 . Feza girls- dar es salaam
7 . Canossa -Dar es salaam
8 . Bethel sans girls -Iringa
9 . Marain girls -Pwani
10. Feza boys -Dar es salaam
swali kwa serikali shule za serikali ziko wapi, maana katika shule kumi
bora hakuna hata shule mmoja ya serikali.

 Ni mwanaasiliasilia Joel joshua



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni